Zanzibar Bureau of Standards

MKUTANO NA WADAU, TAREHE 28 JULAI 2021.

MKUTANO NA WADAU, TAREHE 28 JULAI 2021.

Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) inatoa taarifa kuwa kutakuwa na mkutano na wadau wake, wafanyabiashara na waagizaji bidhaa na wazalishaji wenye viwanda. Mkutano huo utafanyika Jumatano tarehe 28 Julai katika ukumbi wa ZSTC Saateni.

Imetolewa na:

MKURUGENZI MKUU
TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR.
S.L.P 1136,
NAMBARI YA SIMU: +255-24-2232225
Barua pepe: info@zbs.go.tz


CONTACTS
Zanzibar Bureau Of Standards
P.O. Box: 1136, Zanzibar
Tel: +255-24-2232225
Fax: +255-24-2232225
Email: info@zbs.go.tz
Website: www.zbs.go.tz


© Copyright 2021 - Zanzibar Bureau of Standards