Zanzibar Bureau of Standards

TANGAZO KWA WAINGIZAJI NA WAUZAJI WA MATAIRI YALIOTUMIKA (USED TYRE)

TANGAZO KWA WAINGIZAJI NA WAUZAJI WA MATAIRI YALIOTUMIKA (USED TYRE)

Taasisi ya viwango Zanzibar (ZBS) inawatangazia waingizaji na wauzaji wa matairi yaliotumika (USED TYRE) kwamba baada ya kukamilika taratibu za ukaguzi wa bidhaa hiyo, tairi litalokua halikukidhi kiwango kinachotakiwa kwa matumizi atatozwa faini ya shilingi 10,000/= kwa kila tairi moja

Imetolewa na:

MKURUGENZI MKUU
TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR.
S.L.P 1136,
NAMBARI YA SIMU: +255-24-2232225
Barua pepe: info@zbs.go.tz


CONTACTS
Zanzibar Bureau Of Standards
P.O. Box: 1136, Zanzibar
Tel: +255-24-2232225
Fax: +255-24-2232225
Email: info@zbs.go.tz
Website: www.zbs.go.tz


© Copyright 2022 - Zanzibar Bureau of Standards